Tuesday, August 28, 2018

United yapigwa kipigo kizito Old Trafford vijana wa Spurs wakitakata

Klabu ya Manchester United imeshindwa kutamba kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Old Trafford baada ya kujikuta ikipokea kipigo cha jumla ya mabao 3 – 0 dhidi ya Tottenham Hotspur mchezo uliyopigwa usiku wa Jumatatu.  Katika mchezo huo uliyokuwa na ushindani mkubwa umeshuhudia vijana wa Jose Mourinho wakipokea kipigo hicho kutoka kwa Spurs kupitia kwa …

The post United yapigwa kipigo kizito Old Trafford vijana wa Spurs wakitakata appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...