Sunday, August 26, 2018

TANZIA: Sugu afiwa na mama yake mzazi

Mama Mzazi wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Joseph Mbilinyi almaarufu kama Sugu amefariki dunia leo jumapili Agosti 26, 2018 katika hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alikokuwa akipatiwa matibabu kwa muda mrefu. Taarifa ya kifo hicho, imethibitishwa na Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano ya umma na huduma kwa wateja katika Hospitali ya Muhimbili, Aminiel Aligaesha.

The post TANZIA: Sugu afiwa na mama yake mzazi appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...