Friday, August 10, 2018

Samatta afanya yake KRC Genk ikichomoza na ushindi dhidi ya Lech Poznan

Nahodha wa Tanzania anayekipiga kwenye klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta ameisaidia timu yake kuchomoza na ushindi wa jumla ya mabao 2 – 0  dhidi ya Lech Poznan mzunguko wa tatu Europa league. Mchezo huo uliyopigwa hapo jana kwenye uwanja wa Luminus Arena (Genk), Samatta aliweza kufunga bao lapili kupitia mpira wa kichwa dakika ya …

The post Samatta afanya yake KRC Genk ikichomoza na ushindi dhidi ya Lech Poznan appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...