Thursday, August 16, 2018

Nunua Generator kwa bei nafuu na tukuletee BURE kama upo Dar, mikoani pia tunatuma.


Bongo Deco wauzai wa vifaa mbalimbali vya umeme kama TV, Subwoofer, Hometheator, Majiko madogo na makubwa ya Gesi, Friji, Generator nk leo wanakuletea ofa ya kufunga mwaka ya punguzo la bei za Generator. Wapo Magomeni mapipa mtaa wa Idrissa, upo upande wa kushoto kama unatoka Kariakoo. Karibu na Butiama Restaurant. Piga simu 0658184797 / 0752 184797

Generator hizi ni za kampuni ya Boss, sifa yake kubwa ni kua ni imara sana na zinadumu na ndio maana zimetokea kupendwa sana na watu. Kwa wakazi wa Dar pekee ukinunua Generator au bidhaa yoyote kutoka kwetu utaletewa bure hadi kwako. Kwa wakazi wa mikoani  gharama za usafirishaji kuja mkoani ni jukumu la mteja mwenyewe. Piga simu 0658184797 / 0752 184797 tukupe utaratibu

Unaweza kuona generator na bei zake


Generator hii ina 1KV yaani watts 1000 na inatumia Petrol. Bei yake ni 350,000
Generator hii ina 2.2KV yaani watts 2200 na inatumia Petrol. Bei yake ni 600,000

Generator hii ina 2.8KV yaani watts 2800 na inatumia Petrol. Bei yake ni 650,000


Generator hii ina 5.5KV yaani watts 5500 na inatumia Petrol. Bei yake ni 1,100,000 INATUMIA FUNGUO
Generator hii ina 5.5KV yaani watts 5500 na inatumia Petrol. Bei yake ni 1,200,000 INATUMIA FUNGUO
Generator hii ina 6.5KV yaani watts 6500 na inatumia Petrol. Bei yake ni 1,300,000 INATUMIA FUNGUO
Generator hii ina 6.5KV yaani watts 6500 na inatumia Petrol. Bei yake ni 1,250,000 INATUMIA FUNGUO
Generator hii ina 7.5KV yaani watts 7500 na inatumia Petrol. Bei yake ni 1,500,000 INATUMIA FUNGUO

                                            BOSS DIESEL GENERATORS






 
GENERATOR HII INATUMIA DIESEL ZIPO ZA AINA 2, SINGLE PHASE NI 1,700,000 NI KV 5.5 NA IPO YA 3PHASE BEI YAKE NI 1,950,000 NI KV 6.5

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...