Tuesday, August 7, 2018

Ni miaka 20 tangu mashambulizi yatokee kwenye balozi za Marekani Dar es Salaam na Nairobi

Watu nchini Kenya na Tanzania wanaadhimisha miaka 20 tangu yatokee mashambalizi kwenye balozi za Marekani mijini Nairobi na Dar es Salaam yaliyofaywa na kundi la al-Qaeda, Zaidi ya watu 200 wakiwemo raia 12 wa Marekani waliuwa kwenye milipuko hiyo ya mwaka 1998. Mashambulizi hayo yalikuwa ndiyo ya kwanza makuu yaliyofanywa na al-Qaeda dhidi ya Marekani […]
Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...