Monday, August 20, 2018

Mchekeshaji BwanaMjeshi amchana Manara laivu “Aache maneno ya kwenye Kanga tukutane kwenye Ligi”

Mchekeshaji kutoka katika kundi la Timamu BwanaMjeshi amefunguka kuhusu kazi zake pamoja pamoja na kazi wanazotarajia kuziachia kwa ajili ya kujitengenezea mazingira mazuri ya kikazi. BwanaMjeshi ameogea hayo wakati anapiga stori na BongoFive na kusema kuwa “kufanya kwangu vizuri ni kwa kuwa najua kuishi na watu vizuri hata mwanamke anayedumu kwenye familia ni yule anaishi …

The post Mchekeshaji BwanaMjeshi amchana Manara laivu “Aache maneno ya kwenye Kanga tukutane kwenye Ligi” appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...