Monday, August 20, 2018

Mamia wajitokeza shindano la ndevu na masharubu England (+picha)

Mamia ya watu kutoka duniani kote wamejitokeza katika shindano la kumtafuta mshindi wa ndevu na masharubu huko Blackpool nchini Uingereza. Haya ni mashindano ya nne toka kuanzishwa kwake baada ya kufanyika Brighton mwaka 2012, Bristol 2014 na  Liverpool 2016. Mashindano ya mtu mwenye ndevu nyingi na masharubu yanahusisha mtu wa jiansia yoyote kutoka mataifa mbalimbali duniani.

The post Mamia wajitokeza shindano la ndevu na masharubu England (+picha) appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...