Friday, August 10, 2018

KWELI NI KING MAJUTO : SHUHUDIA PICHA MJI WA TANGA UMEZIZIMA ...MAELFU WAJITOKEZA KUMZIKA MZEE MAJUTO


Maelfu wamejitokeza kuusindikiza Mwili wa msanii Amri Athuman maarufu kama Mzee Majuto kuelekea eneo alilochagua kuzikwa Tanga.


Mzee Majuto alifariki usiku wa Jumatano, Agosti 8, 2018 katika Hospitali ya Muhimbili, ambapo kesho yake, Agosti 9, 2018 mwili wake ulipelekwa katika Msikiti wa Maamur, Upanga, jijini Dar es Salaam, kuswaliwa kabla ya kupelekwa viwanja vya ukumbi wa Karimjee kuagwa. Baadaye mwili huo ulisafirishwa kuelekea jijini Tanga kwa maziko. 

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...