Sunday, August 12, 2018

KIWANJA KINAUZWA KIPO KEREGE MAPIGA

KIWANJA kinauzwa kipo Kerege Mapinga, kiwanja ni kizuri sana kipo kona kinaukubwa wa 30 kwa 20 barabara zake ni kubwa, pia zoezi la upimaji Ardhi linaendelea..

Kiwanja hakina mgogoro wowote, kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0714604974
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...