Tuesday, August 7, 2018

Iran na Marekani zalaumiana huku vikwazo dhidi ya Iran vikitarajiwa kuanza kutekelezwa.

Vikwazo ambavyo Marekani imeviwekea Iran vinatarajiwa kuanza kutekelezwa leo, huku viongozi wa Iran na Marekani wakilaumiana. Baada ya Trump kusema milango yake iko wazi kwa mazungumzo, lakini akaiambia Iran kubadili kile alichokitaja kuwa "tabia ya udhoofishaji" la sivyo itengwe zaidi kiuchumi, rais wa Iran Hassan Rouhani ameilaumu Marekani kwa kuendeleza kile alichokitaja kuwa "vita vya […]
Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...