Monday, August 13, 2018

Breaking: Mbunge wa CUF Aliyehamia CCM Apokelewa Lumumba

Mbunge wa CUF Aliyehamia CCM Apokelewa Lumumba
Mbunge wa Liwale kupitia CUF, Zubeir Kachauka aliyejivua ubunge wake na uanachama wake na kujiunga na CCM hivi karibuni  leo amepokelewa katika ofisi za Makao Makuu ya Chama cha CCM na Katbu Mkuu wa Chama hicho, Dk Bashiru Ally
Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...