Thursday, August 16, 2018

Atletico Madrid yatwaa ubingwa wa UEFA Super Cup, Costa man of the match

Klabu ya Atletico Madrid imefanikiwa kutwaa ubingwa wa UEFA Super Cup baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya hasimu wake Real Madrid. Mchezo huo uliyopigwa kwenye dimba la Le Coq Arena umeshuhudiwa ukienda sare ya magoli 2-2 ndani ya dakika 90 hivyo kulazimika kupigwa dakika za nyongeza ambazo Atletico walizitumia vema na …

The post Atletico Madrid yatwaa ubingwa wa UEFA Super Cup, Costa man of the match appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...