Wednesday, August 1, 2018

Ardhi ya watu weupe kurudi mikononi mwa Serikali Afrika ya Kusini

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema chama kikuu cha African National Congress kinatarajia kuanzisha mchakato bungeni wa kuimarisha marekebisho ya Katiba yaliyopendekezwa, kutengeneza njia kwa ajili ya kunyakua ardhi bila malipo iliyokuwa inamilikiwa na watu weupe. Ramaphosa, ambaye ameahidi kurudisha ardhi hiyo kutoka kwa wakulima weupe tangu miaka ya 1600 hadi idadi ya watu …

The post Ardhi ya watu weupe kurudi mikononi mwa Serikali Afrika ya Kusini appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...