KUONESHA mzuka umemkolea, msanii wa Kizazi Kipya zao kutoka Jumba la Kuibua Vipaji Tanzania (THT), Faustina Charles 'Nandy' amejikuta akishindwa kuzuia hisia zake mbele ya mashabiki na kulazimika kuvua 'kuchojoa' nguo ya juu pamoja na kiatu kimoja.
Ishu nzima ilijiri pande za Nyamongo, Tarime ambapo msanii huyo alikuwa akitumbuiza na baada ya kufika katikati ya shoo alisikika akiwaambia mashabiki wake kwamba avue nguo asivue ndipo akavua na kuwarushia akibakiwa na nguo moja ya ndani.
Baada ya muda tena aliwarushia kiatu mashabiki na kufanya umati uendelee kulipukwa kwa shangwe. Hata hivyo mara baada ya kushuka kwa shoo hiyo, Nandy aliingia katika mtandao wake wa Instagram na kuwashukuru mashabiki hao kwa kuandika; "Juhudi huzidi kipaji, asanteni sana Nyamongo
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Zaidi ya ghorofa 100 jijini Dar es Salaam zilibainika kujengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliy...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za ny...
-
Mhamasishaji maarufu wa mitandaoni, Mwijaku, ameandika ujumbe unaotoa ushauri kwa Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Said Hersi, kupitia ukuras...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali shauri lililokuwa limefunguliwa na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...