Thursday, June 24, 2021

Rais Uhuru Kenyatta azindua mashindano ya kimataifa ya mbio za magari

 


Rais Uhuru Kenyatta Alhamisi ameizindua rasmi Mashindano ya Kimataifa ya 2021 ya mbio za magari (WRC) katika ukumbi wa KICC mjini Nairobi .

Mashindano hayo nchini Kenya ni ya raundi ya sita ya Mashindano ya ya duniani mwaka huu wa 2021 na yamewavutia washiriki 58 kutoka kote ulimwenguni.

Mara ya mwisho Kenya kushiriki WRC ilikuwa mnamo 2002.

Mashindanoa hayo yataanzakeshoIjumaakatika lango lachuo cha mafunzo ya KWS mjini Naivashakwenye barabara kuu ya Nairobikwenda Nakuru

Hizi hapa baadhi ya picha za baadhi ya magari yatakayoshiriki mashindano hayo



Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...