VIDEO:Mwigizaji Kajala, Paula, Harmonize na Sallam SK wafika kituoni Polisi
Mwigizaj wa Filamu, Kajala Masanja na mwanae Paula wakiambatana na Harmonize wameonekana katika kituo cha Polisi Oysterbay Feb 16, 2021 huku Uongozi wa Ray Vanny, pia miongoni waliofika kituoni hapo ni Mh.Babu tale na Salam SK,