Friday, February 5, 2021

Mjadala wa Kumpa PESA Mwanamke Wamfikia Mwijaku "Ukiona Mwanaume Anakimbia Majukumu Ujue Anahitilafu"


Baada ya kuepo mjadala mtandaoni kuhusu kumpa hela (matunzo) mwanamke unayekuwa naye kwenye mahusiano, ambapo wapo wanaodai siyo lazima kumpa mwanamke hela huku wengine wakisema ni wajibu wa lazima mwanaume kumpa mwanamke wake hela.


 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

Swala limemfikia Mwijaku na hapa amefunguka ishu hiyo...PLAY kusikiliza.

VIDEO:


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...