Friday, May 8, 2020

Waziri Ummy Mwalimu afunguka sababu za kutotoa taarifa za ugonjwa wa corona Tanzania

Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee Watoto Ummy Mwalimu amesema serikali haijatoa taarifa za mwenendo wa ugonjwa wa Covid-19 nchini kwa wiki moja sasa kutokana na uwepo wa zoezi la uhakiki wa maabara ya taifa na uhakiki huo utakapokamilika, taarifa zitaendelea kutolewa.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...