Saturday, May 9, 2020
Habari Mbaya Kwa Wale Madereva Wanaondeshea Gia ya Neutral Kusave Mafuta...Kumbe Mnaua Injini ya Gari
ZINGATIA HAYA KWA WENYE MAGARI YA 'AUTOMATIC'
Usiweke 'Neutral' mteremkoni, hii inazuia Oil kusambaa na kusababisha msuguano kwa kukosa kilainishi hicho na kupelekea kusagika kwa baadhi ya sehemu. Usiwashe gari na kuanza kuvuta mafuta hii husababisha msuguano mkali na unaweza kuharibu sehemu za Injini
Usiweke 'Neutral' unapokuwa kwenye taa za barabarani, watu wengi hufanya hivyo ili kuhifadhi mafuta lakini kiasi unachohifadhi ni kidogo sana kulinganisha na gharama ya tatizo unaloweza tengeneza
Usiweke 'Parking' kabla gari halijasimama kabisa. Hakikisha gari limesimama kabisa ndipo unaweka 'Parking'. Usiendeshe gari kwa kasi kabla Injini kupata joto, hakikisha injini imepata joto ili kuwezesha 'Oil' kusambaa kwenye sehemu zote
Kuacha mafuta machache kwenye 'Tank' unapolipumzisha gari lako, 'Tank' la mafuta linatakiwa kuwa limejaa au kuwa nusu lakini sio chini kabisa. Kujaza mafuta kunasaidia injini na sehemu nyingine kupoa
-
Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga Daktari Daniel Henry Na Isaac Masengwa ******************* Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...
-
Rais Uhuru Kenyatta na viongozi wengine nchini Kenya wametuma salamu zao za rambi rambi kwa familia ya marehemu Yusuf Haji. Rais Uhuru Kenya...
-
MWANA-mfalme wa Uingereza,. Prince Charles, ambaye ni mtoto wa kwanza wa Malkia Elizabeth wa Pili wa Uingereza, na mrithi wa kwanza katika ...
-
Mfanyabiashara raia wa Kenya, Raphael Ongangi anayedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay, Dar es Salaam nchini Tanzania am...
-
Zikiwa zimesalia siku chache tu Hoteli Mpya ya Kisasa yenye Ubora wa hali ya juu 'SHY PARK HOTEL' ifunguliwe Rasmi mwezi Agosti 202...
-
Vijana wametakiwa kuwa wazalendo katika nchi yao kwa kukemea vitendo viovu katika jamii na kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu. Aidha Sil...
-
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko amefunga rasmi mafunzo ya sheria za usalama barabarani kwa maaskofu na wachungaji wa makanisa ya...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe asomewa mashtaka matatu ya uchochezi, yenye nia ya kuleta ch...
