Wednesday, April 3, 2019
Wema Sepetu awaziba midomo watu kuhusu Mama yake
Siku za hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii kulienea na sauti ya Mama mzazi wake, Wema Sepetu akidai kuwa kuna marafiki wanamfundisha tabia mbaya mwanae huku akitaja jina la mwigizaji Diana na kumuomba akae mbali na mwanae kwani anampoteza.
Kila mtu alitoa mtazamo wake kuhusiana na maneno aliyoyaongea mama wema, huku mama huyo akitaka Team Wema kuto muogopa mtoto wake pale anapokosea.
Wema Sepetu kupitia ukurasa wa instagram ameamua kumaliza suala hilo hiyo na kumshukuru mama yake kwa kuendelea kuwa naye kwenye maisha yake.
After all is said and done, I will forever be grateful to have you in my life ❤
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Mhamasishaji maarufu wa mitandaoni, Mwijaku, ameandika ujumbe unaotoa ushauri kwa Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Said Hersi, kupitia ukuras...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za ny...
-
Zaidi ya ghorofa 100 jijini Dar es Salaam zilibainika kujengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliy...
-
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali shauri lililokuwa limefunguliwa na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...