Klabu ya Tottenham Hotspurs' tayari imeufungua uwanja wake mpya ambao ulianza kujengwa mwaka 2016 ukiwa na uwezo wa kuingiza watu elfu 62062, Ukiwa ni uwanja wa pili katika jiji la London kuingiza watu wengi baada ya Wembley kuingiza watu elfu 90000. Uwanja wa Tottenham una urefu wa mita 105 na upana wa mita 68 sawa na yad (114.8 kwa 74.4).
Uwanja huu ukiwa umegharimu $ bilion 1.3 wakiupa jina la TOTTENHAM HOTSPUR STADIUM ambalo ni jina la muda kwani wanatarajia kulibadili jina hili Ingawa mashabiki wa timu hiyo wanapendekeza Uitwe "NEW WHITE HART LANE STADIUM"
Tottenham Hotspur ilijipatia rekodi iliovunja rekodi ya dunia ya £113m baada ya kodi msimu uliopita. Fedha hizo zimeshinda faida ya £106m ilizopata Liverpool mapema mwaka huu.
Matokeo ya kila mwaka ya kifedha ya msimu 2017-18 yanaonyesha kwamba mapato ya Spurs yalipanda kutoka £310m hadi £380m kutokana na mauzo ya wachezaji, mashabiki wengi waliojitokeza katika uwanja wa Wembley na kufuzu katika awamu ya muondoano ya kombe la vilabu bingwa Ulaya.
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Mhamasishaji maarufu wa mitandaoni, Mwijaku, ameandika ujumbe unaotoa ushauri kwa Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Said Hersi, kupitia ukuras...
-
Zaidi ya ghorofa 100 jijini Dar es Salaam zilibainika kujengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliy...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za ny...
-
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali shauri lililokuwa limefunguliwa na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...