Wednesday, April 10, 2019

Picha: Afisa mtendaji Mkuu wa DAWASA akagua ulazaji wa mabomba Pwani

Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelekezo wakati akikagua ulazaji wa mabomba ya maji kutoka kwenye tenki la Kibamba na kuelekea tenki la Kisarawe kwa ajili ya kuwapatia maji kwa wakazi wa Pwani.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...