Mshtakiwa namba moja wa mauaji ya rapper Nipsey Hussle yaliotokea March 31,2019 Mjini Los Angeles nje ya duka lake la 'The Marathon Clothing', Eric Holder'29 alipandishwa kortini siku ya jana April 4,2019 kwa ajili ya kusomewa mashtaka yanayomkabili.
Inaelezwa kuwa kesi ya Eric Holder inasimamiwa na mwendesha mashtaka maarufu nchini Marekani Christopher Darden, ambaye alijipatia umaarufu mkubwa miaka ya 90 baada ya kufanikiwa kuimaliza kesi kubwa ya mauaji iliyokuwa ikimkabili Mtangazaji Orenthal James Simpson.
Wakili huyo aliiambia mahakama kuwa mshtakiwa huyo Eric Holder hana hatia na ametoa malalamiko kuhusu vyombo vya habari kuruhusiwa kuingia mahakamani wakati wa kesi hiyo ikiendelea.
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Mhamasishaji maarufu wa mitandaoni, Mwijaku, ameandika ujumbe unaotoa ushauri kwa Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Said Hersi, kupitia ukuras...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za ny...
-
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali shauri lililokuwa limefunguliwa na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
Zaidi ya ghorofa 100 jijini Dar es Salaam zilibainika kujengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliy...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...