Bangi inayouzwa katika mitaa ya Madrid ina viwango vya hatari vya kinyesi utafiti umeonyesha. Chembe chembe za bakteria ya E.coli na kuvu ya Aspergillus zimegunduliwa na wakaguzi waliofanyia uchunguzi sampuli 90 zilizonunulia ndani na katika maeneo yanayopakana na mji mkuu huo wa Uhipsania. Sampuli za Hashish zilizofungwa kwenye mifuko ya plastiki ndio zilizogunduliwa kuwana viwango …
The post Bangi inayopatikana mtaani nchini Uhispania yatajwa ‘kuwa na kiwango kikubwa cha chembe chembe za kinyesi’ appeared first on Bongo5.com.
Source