Huwenda klabu ya Juventus ikaendelea na mipango yake ya kutafuta saini ya Paul Pogba dirisha lijalo la usajili la mwezi Januari baada ya nyota huyo wa Manchester United kutangaza kurejea Serie A. Kwa mujibu wa ripoti kutoka Italia, Pogba aliwaambia wachezaji wa Juventus kuwa anajiandaa kujiunga na klabu hiyo wakati alipokutananao kwenye mchezo wa Champions …
The post Pogba awaambia wachezaji wa Juve mpango wake wa kuachana na Man United mwezi Januari appeared first on Bongo5.com.
Source