Mahakama Kuu ya Tanzania imesitisha kusikiliza rufaa ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini,Esther Matiko hadi rufaa ya upande wa mashtaka itakaposikilizwa Mahakama ya Rufani ya kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu ya kusikiliza rufaa hiyo.
Friday, November 30, 2018
VIDEO: Full Video Kilichotokea Mbowe, Matiko kukosa dhamana
Mahakama Kuu ya Tanzania imesitisha kusikiliza rufaa ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini,Esther Matiko hadi rufaa ya upande wa mashtaka itakaposikilizwa Mahakama ya Rufani ya kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu ya kusikiliza rufaa hiyo.
Ali Kiba Kupiga Shoo na Yvonne Chakachaka
Mwanamuziki katika tasnia ya Bongo movie Ali Kiba amefunguka kwamba atafanya shoo mbili za kufanga mwaka jijini Dar es Salaam ambapo atakuwa na muimbaji mkongwe, Yvonne Chakachaka kutoka Afrika Kusini. Kupitia ukurasa wa Instagram, Ali Kiba amesema atafanya shoo hizo kabla ya mwaka haujaisha: Ikiwa leo ni siku yangu ya kuzaliwa namshukuru Mungu kwa kuendelea kunibariki katika kila jambo na namshukuru kwa kunipa mashabiki wanaonipa support ya dhati kabisa. Shukrani zangu kwa mashabiki mwaka huu katika Funga mwaka na King Kiba zinakuja na show mbili kubwa ndani ya Desemba 2018. 1st Edition ya Funga Mwaka Na King Kiba nitakuwa na Princess of Africa Mama Yvonne_ ChakaChaka itafanyika Serena Hotel Dar es Salaam 22. December. 2018. Halafu 2nd Edition ya Funga Mwaka Na KingKiba itatukutanisha pale Next Door Arena, Dar es Salaam tarehe 29. December.2018." Hii haikuwa mara ya kwanza Msanii kwa Ali Kiba kumleta Yvonne Chakachaka na kupiga naye shoo, ameshawahi kumleta na Kuperfom naye katika siku ya wanawake.
The post Ali Kiba Kupiga Shoo na Yvonne Chakachaka appeared first on Ghafla! Tanzania.
Source
Mbunge nchini Uingereza atangaza kuwa anaishi na virusi vya UKIMWI ‘nimejificha kwa miaka 10’
Mbunge wa Chama cha Leba cha nchini Uingereza, Lloyd Russell-Moyle ametangaza hadharani kuwa anaishi na virusi vya UKIMWI. Moyle alitoa taarifa hizo jana Novemba 29, 2018 bungeni kwenye hotuba yake iliyokuwa yenye hisia nzito kuhusu Ugonjwa wa Ukimwi. “Ninakaribia miaka 10 sasa tangu nipimwe na nikutwe na virusi vya UKIMWI nikiwa na miaka 22, lakini kwa …
The post Mbunge nchini Uingereza atangaza kuwa anaishi na virusi vya UKIMWI ‘nimejificha kwa miaka 10’ appeared first on Bongo5.com.
Source
Picha : VIONGOZI WA HALMASHAURI WILAYA YA SHINYANGA WAFANYA ZIARA RAFIKI SDO
Wema Sepetu Afunguka Baada Ya Skendo Yake Nzito
Wiki chache zilizopita Wema aliwadhangaza watu wengi Baada ya kuamua kuwanika video na picha zake kwenye mitandao ya kijamii zilizomuonyesha akiwa anakumbatiana kubusiana na aliyekuwa Mpenzi Wake kwa kipindi hiko PCK.
Baada ya sakata hilo Wema amefunguka na kusema kuwa maisha yake ya sasa anapenda yawe ya siri zaidi na kama ana shida ya kuzungumza vitu ambavyo vinamsibu ni vyema amtafute mtu sahihi ambaye anamuamini kwa asilimia zote.
Katika mahojiano yake na Gazeti la Ijumaa, Wema alisema kuwa, kwa sasa amekuwa makini kwa kila kitu anachofanya ili kumuweka salama tofauti na zamani ambapo mambo yake mengi yalikuwa yakivuja hovyo.
Kwa kweli sasa hivi niko makini sana na kila jambo hivyo nimepitia kipindi kigumu sana mpaka sasa hivi nimeamua kujituliza kufanya vitu vyangu kiakili".
Baada ya kusambaza picha hizo Wema alifunguliwa kesi mahakamani ambayo inaendelea kusikilizwa.
Picha : BENKI YA NMB YATOA MAFUNZO KWA MAWAKALA WA NMB MKOA WA SHINYANGA
Mwakilishi wa Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi,Lembris Melusori akizungumza wakati wa kufungua mafunzo kwa Mawakala wa Benki ya NMB mkoa wa Shinyanga leo Alhamis Novemba 29,2018 katika ukumbi wa Empire Hotel mjini Shinyanga. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde1 blog
Mwakilishi wa Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi,Lembris Melusori akizungumza wakati wa kufungua mafunzo kwa Mawakala wa Benki ya NMB mkoa wa Shinyanga.
Meneja Mahusiano na Wakala na Mauzo NMB makao makuu, Nehemiah Simba akizungumza wakati wa mafunzo hayo.
Meneja wa Uwakala Benki ya NMB Kanda ya Magharibi,Tabora,Ngarami Urassa akizungumza wakati wa mafunzo kwa mawakala wa NMB mkoa wa Shinyanga.
Mawakala wa NMB wakiwa ukumbini.
Mawakala wa NMB wakiwa ukumbini.
Mawakala wa NMB wakifuatilia mada ukumbini.
Meneja Mahusiano na Wakala na Mauzo NMB makao makuu, Nehemiah Simba akitoa mada kuhusu huduma zinazotolewa na benki ya NMB.
Meneja Mahusiano na Wakala na Mauzo NMB makao makuu, Nehemiah Simba akiendelea kutoa mada ukumbini.
Mawakala wa NMB wakifuatilia mada ukumbini.
Mafunzo yakiendelea.
Meneja wa Uwakala Benki ya NMB Kanda ya Magharibi,Tabora,Ngarami Urassa akitoa mada kuhusu huduma zinazotolewa na wakala wa NMB.
Mawakala wakiwa ukumbini.
Mafunzo yanaendelea.
Wakala wa NMB,Johari Ibrahimu akichangia hoja wakati wa mafunzo hayo.
Meneja wa Uwakala Benki ya NMB Kanda ya Magharibi,Tabora,Ngarami Urassa akitoa mada wakati wa mafunzo hayo.
Afisa Mikopo benki ya NMB Manonga,Magreth Mbuduka akitoa ufafanuzi kuhusu masuala ya mikopo katika benki hiyo.
Mawakala wa NMB wakifuatilia mafunzo hayo.
Mafunzo yanaendelea.
Mafunzo yanaendelea.
Wakala wa NMB Kasiano Kicho akichangia hoja wakati wa mafunzo hayo.
Meneja Mahusiano na Wakala na Mauzo NMB makao makuu, Nehemiah Simba akielezea kuhusu mambo ya kuzingatia katika biashara ya uwakala.
Afisa wa Benki ya NMB Richard Paul akielezea kuhusu huduma zinazotolewa na mawakala wa NMB .
Msimamizi wa Sheria,Taratibu na Kanuni benki ya NMB Kanda ya Tabora, Janeth Uiso akitoa mada jinsi ya kuzuia vitendo vya kutakatisha fedha na kuwezesha kifedha vikundi vya kigaidi.
Msimamizi wa Sheria,Taratibu na Kanuni benki ya NMB Kanda ya Tabora, Janeth Uiso akiwataka mawakala wa NMB kujiepusha na vitendo vya kutakatisha fedha.
Wakala wa NMB Joeli Fanueli Moshi akichangia hoja wakati wa mafunzo hayo.
Afisa Mauzo/Huduma Mbadala benki ya NMB Kanda ya Magharibi,Trifon Melkiory akitoa mada kuhusu matumizi ya mashine za kutolea huduma
Afisa Mauzo/Huduma Mbadala benki ya NMB Kanda ya Magharibi,Trifon Melkiory akitoa mada kuhusu matumizi ya mashine za kutolea huduma.
Mawakala wa NMB wakifuatilia mada ukumbini.
Kushoto ni Meneja wa mauzo benki ya NMB Manonga, Thadei Mhengilolo na Afisa Mdhibiti ubora wa benki ya NMB,Timotheo Elias wakiwa ukumbini.
Wakala wa NMB,Juliana Shilatu wa mjini Shinyanga akiuliza swali wakati wa mafunzo hayo.
Wakala wa NMB,Magese Lusambagula Shagembe kutoka Solwa akiuliza swali wakati wa mafunzo hayo.
Afisa Mdhibiti ubora wa benki ya NMB,Timotheo Elias akizungumza wakati wa mafunzo hayo.
Wa pili kushoto ni Meneja Mahusiano na Wakala na Mauzo NMB makao makuu, Nehemiah Simba akimtangaza Juliana Shilatu (wa kwanza kulia) kuwa ni Wakala Bora wa NMB mkoa wa Shinyanga wakati wa kutangaza mawakala 10 bora wa NMB mkoa wa Shinyanga kwa mwaka 2018.
Mwakilishi wa Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi,Lembris Melusori akimkabidhi zawadi ya cheti na fedha taslimu 100,000/- bi Juliana Shilatu aliyetangazwa kuwa Wakala bora wa NMB mkoa wa Shinyanga.
Wakala bora wa NMB mkoa wa Shinyanga,Juliana Shilatu akielezea mbinu mbalimbali anazotumia kufanya kazi ya uwakala.
Mwakilishi wa Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi,Lembris Melusori akimkabidhi Saha Dachi and Company shilingi 75,000 mshindi wa nafasi ya pili ya wakala bora wa NMB.
Mwakilishi wa Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi,Lembris Melusori akimkabidhi Amos Francis Ndila shilingi 60,000 mshindi wa nafasi ya tatu ya wakala bora wa NMB.
Mwakilishi wa Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi,Lembris Melusori akimkabidhi Ngenda Mabula Hamis shilingi 50,000 mshindi wa nafasi ya nne ya wakala bora wa NMB.
Mwakilishi wa Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi,Lembris Melusori akimkabidhi Hamis Ahmad mwakilishi wa Micatel Tanzania Ltd shilingi 50,000 mshindi wa nafasi ya tano ya wakala bora wa NMB.
Mawakala wakifuatilia matukio yaliyokuwa yanaendelea ukumbini.
Mawakala wa NMB wakiwa ukumbini.
Mafunzo yanaendelea.
Picha ya pamoja baada ya mafunzo kumalizika.
Picha ya pamoja baada ya mafunzo kumalizika.
Picha zote na Kadama Malunde - Malunde1 blog
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Bongo Deco wauzai wa vifaa mbalimbali vya umeme kama TV, Subwoofer, Hometheator, Majiko madogo na makubwa ya Gesi, Friji, Generator nk leo w...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii wa Jamhuri ya ...
-
Kuongezeka kwa ghasia za hivi majuzi kumesababisha idadi kubwa ya raia wa Lebanon kukimbia kutoka Beirut huku milipuko ikitikisa jiji hilo...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 15, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo – Busisi) ...