Wednesday, December 22, 2021

Kiasi kikubwa cha maji chagunduliwa katika sayari ya Mars

Jopo la wanasayansi kwa ushirikiano na Shirika la anga za mbali la Ulaya (ESA) kwa ushirikiano na Shirika la anga za mbali la Urusi (Roscosmos) wametangaza uvumbuzi wa kiwango kipya kikubwa cha maji katika sayari ya Mars. Maji hayo yamemepatikana kwenye sakafu ya korongo la Valles Marineris , wenye korongo kubwa na lenye kimo kirefu …

The post Kiasi kikubwa cha maji chagunduliwa katika sayari ya Mars appeared first on Bongo5.com.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...