Saturday, April 10, 2021

Mjumbe Maalum wa Rais Kenyatta kukutana na Rais Samia Ikulu Dar

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo 10 Aprili, 2021 atakutana na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Uhuru Muigai Kenyatta Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...