Saturday, April 10, 2021

Simba yaringa robo fainal licha ya kufungwa bao 1-0 na Al Ahly

Wawakilishi wa Tanzania 🇹🇿 katika Ligi ya Mabingwa Afrika @simbasctanzania wametinga katika Hatua ya Robo fainali ya Michuano Hiyo Baada ya kumaliza hatua ya makundi wakiwa vinara wa kundi A wakiwa na jumla ya Alama 13


Licha ya kupoteza Mchezo wa leo kwa kufungwa na Al Ahly Bao 1-0 haijawazuia Simba Sc kusonga Mbele huku ikiwa ni mara ya kwanza kufuzu Hatua hiyo huku wakiongoza kundi

Katika Mechi zote 6 za hatua ya makundi Simba Sc wamepoteza mechi 1 tu na kuruhusu kufungwa magoli mawili tu.

Simba Sc na Al Ahly ndizo Timu za Kundi A zilizofuzu kuingia hatua ya Robo fainali

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...