Sunday, March 14, 2021

Tanzia: Christian Longomba Afariki Dunia





MSANII wa Kundi maarufu la 'Longombas' kutoka Kenya Christian Longomba amefariki, imeripoti kuwa katika Hospitali Los Angeles Marekani akipatiwa matibabu.

 

Kaka yake aitwae Lovy amethibitisha kifo cha mdogo wake na kuandika "Nakupenda Kaka yangu, Partner wangu na Rafiki yangu lakini Yesu amekupenda zaidi, uwe na furaha mbinguni".

 

Mwaka 2017 Christian alifanyiwa upasuaji wa ubongo baada ya kusumbuliwa na 'brain tumor', kundi la Longombas lilitamba na nyimbo kama vuta pumzi, shika more na dondosa.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...