Sunday, March 14, 2021

Dereva na Mmiliki wa Gari Lililomgonga Tembo Serengeti Anatafutwa


Polisi Mkoani Mara, wanamtafuta dereva na mmiliki wa gari namba T 388 DUF, Toyota Kruger iliyomgonga tembo mwenye thamani ya Tsh. Milioni 30 katika hifadhi ya Taifa ya Serengeti


Tembo huyo amekufa baada ya kugongwa na gari alipokuwa akikatiza kwenda kunywa maji Ziwa Victoria kwenye barabara ya Mwanza kuelekea Musoma


Mkuu wa hifadhi ya taifa Serengeti, Masana Mwishawa, amewataka madereva wa Vyombo vya Moto kujali na kuzingatia usalama wa Wanyamapori kwenye maeneo ya hifadhi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...