Mbunge wa jimbo la Singida kaskazi Mh Eng Justin Joseph Monko amekabidhi vifaa vyenye thamani ya sh milioni 14 kwa Kata za Ilongero, Merya na Maghojoa ikiwa ni baadhi ya ahadi zake alizoahidi katika Kata hizo.
Vifaa alivyokabidhi ni pamoja na Bati 100 kwaajili ya ujenzi wa Ofisi ya CCM wilaya ya Singida Vijijini,Mifuko 80 ya Saruji ujenzi wa Kanisa Katolik Ilongero, Mifuko 30 ya Saruji kwajili wa ujenzi wa darasa shule shikizi ya Mvae Kata ya Merya ,Mifuko 30 kuchangia ujenzi wa nyumbani ya katibu UVCCM wilaya ya Singida Vijijini, Mifuko ya Saruji 10 ujenzi wa nyumbani ya katibu Uvccm Mkoa wa Singida.
Pia amechangia boksi 20 za vitabu ikiwa 16 kwa ni kwaajili ya shule za Sekondari ambavyo ni vya Sayansi na Sanaa na Boksi 4 kwaajili ya shule za msingi pia Mh Monko amekabidhi bati 40 kwaajili ya ujenzi wa Shule ya msingi Maghojoa.
Source
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Bongo Deco wauzai wa vifaa mbalimbali vya umeme kama TV, Subwoofer, Hometheator, Majiko madogo na makubwa ya Gesi, Friji, Generator nk leo w...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii wa Jamhuri ya ...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Kuongezeka kwa ghasia za hivi majuzi kumesababisha idadi kubwa ya raia wa Lebanon kukimbia kutoka Beirut huku milipuko ikitikisa jiji hilo...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 15, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo – Busisi) ...