Wednesday, July 3, 2019
Msichana wa Kazi 'House Girl' Ameniweka Pabaya Sana
Mwezi uliopita, mke wangu alisafiri kikazi mkoani. Nikawa nimebaki mimi, msichana wa kazi na watoto wetu 3. Kati ya hizo siku ambazo mke wangu alikuwa safarini nilifanya tendo la mdoa na msichana wa kazi takribani mara 4, sikutaka kufanya naye zaidi ya mara moja ila ukweli mambo aliyonifanyia sikuamini macho yangu, machine full intackt. Siwezi kusema nilifanya nae kimakusudi au bahati mbaya bali muhemko ulinipelekea kufanya hivyo hasa uhuru ulio kuwepo na mavazi ya msichana wa kazi yalichangia.
Kwa bahati mbaya msichana wa kazi anavitu vingi ninavyo vipenda ikiwemo makalio mazuri pamoja na rangi ya mwili wake. Sasa shida katika familia yangu imeanza baada ya mke wangu kurudi. Heshima ile ambayo msichana aliyekuwa nayo kwa mke wangu haipo tena. Kila kukicha mke ni kumpigia makele kutokana na uzembe wa utendaji wake wa kazi. Ikafikia siku msichana wa kazi alimwambia wife kwamba leo upo utanisaidia kufanya kazi. Mbaya zaidi kuna siku mke alikosea alipo mpa nguo zangu afue akawa ameichanganya nguo yangu ya ndani katika hizo nguo.
Msichana akaifua huku akifahamu kwamba ajawahi pewa nguo kama hiyo aifue. Kila siku nimekuwa ni msuluhishi wa matatizo ya mke wangu na msichana wa kazi. Siku moja katika usululishi mke alitamka kwamba huyu siku hizi ananiona tupo sawa. Akili ikanizunguka. Sasa kibembe kilikuwa jana. Mke aliondoka mapema kwenda kazini, nikaamua kumkalisha msichana wa kazi chini kumuhoji mabadiliko yake pamoja na ugomvi wa kila siku kati yake na wife. Sasa wakati namuhoji alibanwa na kitu kooni ikamlazimu akimbilie wash room. Nikabaini msichana ana dalili za ujauzito.
Nikaanza kumtyte kama ana mimba na jee hiyo mimba ni ya nani ili anieleze nijue wapi pa kuanzia. Ukweli mimi nilitembea naye kavu kavu ila nilikuwa makini sana wakati wa kufika mshindo. Nilihakikisha sperm nazimwaga njee. Nikamwambia si anafahamu fika kwamba wakati nilifanya naye mbegu zangu nilizimwaga njee, akanijibu hafahamu. Nilijitahidi sana kumbana ili aniambie ni kijana yupi pale mtaani ana mahusiano naye, lakini alikataa kata kata. Ikanilazimu kwenda pharmacy kununua kifaa cha kumpimia ujauzito. Nikamwomba anipatie mkojo wake nikampima.
Ukweli mistari mwekundu ikatokea miwili ikimaanisha tayari anayo. Nikamjibu kwamba hana mimba ili hali mimi nampeleleza kijana ambaye anamahusiano naye nimfahamu. Binafsi naamini kabisa siyo muhusika wa hiyo hali. Sasa kinachonichanganya mpaka dunia naiona chungu ni hili. Je, ikija kubainika kwamba mimi nilikwisha wahi kushare na msichana wa kazi itakuwaje kwa mke wangu na ndugu jamaa na marafiki? Je ndoa yetu tukufu itakuwaje? Je msichana akisema hiyo mimba ni ya kwangu itakuwaje?
Ndugu zangu hili jambo linaweza mtokea mtu yeyote kati yetu kwa sababu tuna mioyo ya nyama na si ya chuma. Naombeni mnipe option yeyote ambayo aitafanya mke wangu aifahamu hili swala ambayo naweza ifanya within 4 days ahead. Nimechanganyikiwa wandugu, biashara zangu zimeyumba sana na kila nikilifikiria tena hili nachanganyikiwa zaidi, najuta.
Source
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za ny...
-
Zaidi ya ghorofa 100 jijini Dar es Salaam zilibainika kujengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliy...
-
Mhamasishaji maarufu wa mitandaoni, Mwijaku, ameandika ujumbe unaotoa ushauri kwa Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Said Hersi, kupitia ukuras...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali shauri lililokuwa limefunguliwa na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...