Wednesday, June 19, 2019

Familia ya Masogange Yafunguka KUTOPOKEA Pesa Yoyote iliyochangwa Kutoka kwa Wasanii


Familia ya marehemu Agnes Gerald 'Masogange' imesema kwamba mpaka sasa haijapokea pesa yoyote iliyochangwa kutoka kwa wasanii.

Steve Nyerere aliweka wazi kuwa pesa hiyo itatolewa pale mtoto wa Agnes atakapoanza kidato cha kwanza, jambo ambalo mpaka sasa halijafanyika. 

Source:Swahili Forums
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...