Wednesday, June 19, 2019

TANZIA:MBUNGE Mstaafu wa Kilombero, ABDUL Mteketa Afariki Dunia



Amefariki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu. Mteketa alikuwa Mbunge wa Kilombero kuanzia mwaka 2010-2015

Aliwahi kuomba msaada wa matibabu ya upasuaji wa goti lake kwa Rais Magufuli kupitia mitandao ya kijamii ambaye alimsaidia na kumpeleka kutibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili

Katika video yake alieleza namna anavyoteswa na vidonda hali iliyomlazimu awe anabebwa kwenda kuoga  

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...