Wataalamu wa hali ya hewa pamoja na Umoja wa Mataifa wameonya jana kwamba kimbunga kilicho na nguvu kinachotoka Madagascar, kinaelekea pwani ya Msumbiji na Tanzania. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema Kimbunga Kenneth kitapiga usiku kucha kwa upepo mkali wenye kasi ya kilomita 80 kwa saa, hali ambayo inaweza kusababisha uharibifu mkubwa. TMA …
The post Kimbunga Kenneth kinategemewa Tanzania na Msumbiji, TMA yatoa tahadhari wakazi wa Lindi, Mtwara na Ruvuma appeared first on Bongo5.com.
Source