Afisa Habari wa Simba SC, Haji Manara ameendelea na majigambo yake hasa kwa watani wake Yanga, ambapo amesema kuwa endapo watani zake wa jadi Yanga katika mchezo wake na Tukuyu Stars leo, wakifikisha nusu ya mashabiki waliohudhuria kwenye mchezo wao dhidi ya Nkana FC, yuko yatari kujiuzulua nafasie ya usemaji, ndani ya klabu.
Manara amefunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo ameandika kuwa Simba haiwezi kufananishwa na timu zingine Tanzania wakiwemo watani wake, Yanga.
"Yanga leo wanacheza na Tukuyu Stars, wakijaza asilimia kumi kama jana najiuzulu usemaji wa Simba, halafu yupo mswahili anaweza kuthubutu kunifananisha De la boss na wasemaji wengine?", ameandika Manara.
Yanga inacheza na Tukuyu stars katika dimba la taifa, jijini Dar es salaam katika michuano ya shirikisho (AFC), huku watani wao Simba wakiwa wamefanikiwa kutinga hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Afrika kwa mara ya kwanza baada ya miaka 15, wakiichapa Nkana FC ya Zambia.
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Zaidi ya ghorofa 100 jijini Dar es Salaam zilibainika kujengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliy...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za ny...
-
Mhamasishaji maarufu wa mitandaoni, Mwijaku, ameandika ujumbe unaotoa ushauri kwa Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Said Hersi, kupitia ukuras...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali shauri lililokuwa limefunguliwa na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...