Msanii wa muziki kutoka lebo ya Wasafi iliyoko chini ya Diamond Platnumz, Harmonize ameamua kuweka wazi meseji zake alizokuwa anawasiliana na msanii kutoka Nigeria akiomba kuja kushiriki angalau katika moja ya tamasha la Wasafi Festival Tanzania. Kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii huyo ameweka wazi meseji hizo huku ukifuatia ujumbe mzito kutoka kwa Harmonize chini …
The post Harmonize aanika hadharani meseji za msanii kutoka Nigeria akiomba kuperformu Wasafi Festival (+Audio) appeared first on Bongo5.com.
Source