Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imeomba radhi kwa mashabiki kWA kupoteza mchezo wao wa kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) itakayofanyika Camerooni.
Stars walikuwa kwenye nafasi nzuri endapo wangeshinda wangefanikiwa kufuzu moja kwa moja ila kwa kuwa walipoteza kwa kufungwa bao 1-0 watalazimika kusubiri mpaka mwakani baada ya mechi za mwisho kuchezwa.
Beki wa kulia wa Stars, Erasto Nyoni amesema kuwa wanatambua wamepoteza furaha ya mashabiki hivyo wanaomba msamaha kwa kufanya hivyo kwani walipambana wakashindwa kupata matokeo.
"Hakuna ambaye amefurahi kushindwa hasa kwa kuwa taifa lilituamini na tuliahidi kufa na kupona ili tuweze kupata matokeo ila tumepoteza bado tunaamini tutafanya vizuri katika mchezo wetu wa mwisho, kikubwa sapoti watanzania msituache," alisema.
Kwenye Kundi L timu ya Uganda imefanikiwa kufuzu Fainali hizo huku ushindani ukibaki kwa timu mbili ambazo ni Tanzania na Lesotho wakiwa na pointi 5, matumaini yatajulikana mwezi Machi kwa timu ya Tanzania kama watashinda dhidi ya Uganda huku Lesotho wakipoteza kwa Cape Verde.
-
Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga Daktari Daniel Henry Na Isaac Masengwa ******************* Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...
-
Rais Uhuru Kenyatta na viongozi wengine nchini Kenya wametuma salamu zao za rambi rambi kwa familia ya marehemu Yusuf Haji. Rais Uhuru Kenya...
-
MWANA-mfalme wa Uingereza,. Prince Charles, ambaye ni mtoto wa kwanza wa Malkia Elizabeth wa Pili wa Uingereza, na mrithi wa kwanza katika ...
-
Mfanyabiashara raia wa Kenya, Raphael Ongangi anayedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay, Dar es Salaam nchini Tanzania am...
-
Zikiwa zimesalia siku chache tu Hoteli Mpya ya Kisasa yenye Ubora wa hali ya juu 'SHY PARK HOTEL' ifunguliwe Rasmi mwezi Agosti 202...
-
Vijana wametakiwa kuwa wazalendo katika nchi yao kwa kukemea vitendo viovu katika jamii na kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu. Aidha Sil...
-
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko amefunga rasmi mafunzo ya sheria za usalama barabarani kwa maaskofu na wachungaji wa makanisa ya...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe asomewa mashtaka matatu ya uchochezi, yenye nia ya kuleta ch...
