SABABU ZA MBUNGE WA SIMANJIRO CHADEMA JAMES OLE MILLYA KUJIUZULU UBUNGE NA KUHAMIA CCM
Mbunge wa Simanjiro Kupitia chama cha Demokrasia (CHADEMA) Ndg. James Ole Millya amejivua uanachama wa chama hicho pamoja na nyadhifa zake zote na kutangaza kuhamia CCM ambako alikuwa awali.