Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametolea maelezo sakata la zao la korosho ambapo amesema kuwa endapo wafanyabiashara watakataa kununua kwa bei elekezi ya Tsh 3000 kwa kilo.
Akizungumza na wafanyabiashara wa korosho Ikulu jana Oktoba 28, 2018 Rais Magufuli amewataka wafanyabiashara kununua korosho kwa bei isiyopungua elfu 3000 na kama watakataa basi serikali ipo tayari kununua.
"Kama hamtaki kununua Korosho kwa bei ya maslahi kwa wakulima, Serikali itazinunua kwa bei nzuri na tutazihifadhi, nipo tayari hata kutumia majeshi yetu kununua Korosho na tutatafuta masoko ya uhakika ili tuuze kwa bei nzuri."amesema Rais Magufuli.
"Serikali ina hela, inaweza kununua Korosho za wakulima wa Lindi na Mtwara kwa siku mbili. Tumenunua ndege, tumejenga reli, hatuwezi kushindwa kununua Korosho,"ameeleza Magufuli.
Wakati tamko hilo likijiri hapo jana, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe aliongelea sakata hilo akitaka serikali itoke hadharani kueleza sakata hilo.
Source
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Bongo Deco wauzai wa vifaa mbalimbali vya umeme kama TV, Subwoofer, Hometheator, Majiko madogo na makubwa ya Gesi, Friji, Generator nk leo w...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii wa Jamhuri ya ...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Kuongezeka kwa ghasia za hivi majuzi kumesababisha idadi kubwa ya raia wa Lebanon kukimbia kutoka Beirut huku milipuko ikitikisa jiji hilo...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 15, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo – Busisi) ...