Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara amekamatwa na polisi kutokana na tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji 'Mo Dewji'. Kwa mujibu wa mtandao wa Mwananchi, Manara alikamatwa jana jioni na kuachiwa kabla ya leo asubuhi Oktoba 12, 2018 kukamatwa tena na polisi. Akithibitisha kukamatwa kwa Manara, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya …
The post Manara anashikiliwa polisi kwa tuhuma ya kusambaza habari ya kutekwa Mo Dewji appeared first on Bongo5.com.
Source