Saturday, October 13, 2018

Hofu yatanda, Mamia ya watu hawajulikani walipo, baada ya maporomoko ya ardhi wilaya ya Bududa nchini Uganda, Maafisa wahofia idadi ya waliopoteza maisha huenda ikaongezeka

Zaidi watu 50 wamepoteza maisha kutokana na maporoko ya ardhi na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa inayoendelea kunyesha mashariki mwa Uganda. Mamia ya watu bado hawajulikani walipo huku maafisa katika wilaya ya Bududa wakihofu kuwa idadi ya waliopoteza maisha huenda ikaongezeka. Walioshuhudia mkasa huo wanasema kuwa mwamba ulidondoka mtoni na kupasua kingo za mto hali …

The post Hofu yatanda, Mamia ya watu hawajulikani walipo, baada ya maporomoko ya ardhi wilaya ya Bududa nchini Uganda, Maafisa wahofia idadi ya waliopoteza maisha huenda ikaongezeka appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...