Saturday, December 4, 2021

Gambia wanapiga kura ya kumchagua Rais 

Wananchi wa Gambia leo wanapiga kura katika uchaguzi wa kihistoria, ambao kwa mara ya kwanza rais wa zamani Yahya Jammeh hayumo kwenye kinyang’anyiro hicho. Rais wa sasa Adama Barrow aliyechaguliwa kwa mara ya kwanza mnamo mwaka 2016, ana matumaini ya kushinda muhula wa pili katika uchaguzi wa rais unaofanyika leo Jumamosi. Wagombea sita wanagombea kiti …

The post Gambia wanapiga kura ya kumchagua Rais  appeared first on Bongo5.com.

Best Naso – Mrudishe Dada (Official Music video)

 Staa wa muziki wa Bongo Fleva Best Nso, Ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la-Mrudishe Dada

The post Best Naso – Mrudishe Dada (Official Music video) appeared first on Global Publishers.

Yasome Hapa Magazeti ya Leo, Desemba 4, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Desemba 4, 2021. Usipitwe na Matukio, Install App Yako ya Kijanja...

The post Yasome Hapa Magazeti ya Leo, Desemba 4, 2021 appeared first on Global Publishers.

India: Masomo hayana uzee - hata kwa aliye na miaka 104

Bi Kuttiyamma hakusoma shule na aliolewa akiwa na umri wa miaka 16.

Rais TUCTA aonya siasa kutumika sekta ya afya

Rais wa Shirikisho huru la vyama vya wafanyakazi nchini (TUCTA), Ndg. Tumain Nyamhokya amewataka wanasiasa kuacha kujibu hoja za wafanyakazi wa sekta ya Afya kwa kutumia majukwaa. Akifunga Semina ya Waajiri na viongozi wa matawi iliyoandaliwa na Chama cha wafanyakazi wa serikali kuu na Afya TUGHE, ndg. Tumain Nyamhokya amesema kuwa kada ya Afya haipaswi …

The post Rais TUCTA aonya siasa kutumika sekta ya afya appeared first on Bongo5.com.

MUSIC VIDEO: Future Destin Ft Natacha – (TO’ETE Remix)

Video mpya kutoka kwa wasanii wawili wa muziki kutoka DR Congo, Future Destin na Natacha kutoka Burundi, Wote wanakukaribisha utazame video hiyo kwa kubofya link ya YouTube hapa chini.

The post MUSIC VIDEO: Future Destin Ft Natacha – (TO’ETE Remix) appeared first on Bongo5.com.

Friday, December 3, 2021

Hypersonic : Kwanini Marekani ina wasiwasi mkubwa kuhusu silaha hii ya China?

Waziri wa ulinzi nchini Marekani Lloyd Austin alisema siku ya Alhamisi kwamba hatua ya China kutengeneza silaha ya hypersonic inasababisha wasiwasi katika eneo hilo.

UNICEF kukutana na wabunge Desemba 11 Dodoma

KATIKA kuadhimisha miaka yake 75 ya kazi katika kushughulikia masuala mbalimbali ya watoto, Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Watoto, UNICEF litakutana na wabunge Desemba 11 jijini Dodoma. Shirika hilo limefanya kazi katika kusaida watoto kwenye nyanja mbalimbali za elimu, afya, ustawi wa jamii na masuala mengine mtambuka. Katika kuungana na shirika hilo kusherehekea miaka …

The post UNICEF kukutana na wabunge Desemba 11 Dodoma appeared first on Bongo5.com.

 Tanzania Yaongoza kwa Matumizi ya Bangi Afrika Mashariki

Licha ya sheria kali za kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya, tafiti zilizopo zinaonyesha kuwa Watanzania hutumia zaidi bangi kuliko wananchi wengine wa Jumuiya ya...

The post  Tanzania Yaongoza kwa Matumizi ya Bangi Afrika Mashariki appeared first on Global Publishers.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...