Wednesday, December 1, 2021

Mawakili wa Sabaya wataka Shahidi Mrosso akamatwe

Mawakili wa utetezi wa kesi ya uhujumu uchumi na.27/2021 inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya wameitaka mahakama kumkamata Shaihidi namba 10 Evarist Mrosso kwa kosa la kutoa rushwa. Hoja ya kumkamata Mrosso imeibuliwa na Wakili Msomi Fridolin Bwemelo ambapo amesema inafikirisha kuona aliyetoa rushwa yupo huru uraiani huku wanaoshtakiwa kwa kutoa …

The post Mawakili wa Sabaya wataka Shahidi Mrosso akamatwe appeared first on Bongo5.com.

HIV: ‘Nililala stoo kutokana na hali yangu ya kiafya'

Safari ya maisha yake haijawa rahisi lakini ameamua kuwahamasisha wengine wanaoishi na hali hiyo.

Waziri Gwajima: Viongozi Wasiochanja Waachie Ngazi

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema msimamo wa Tanzania chanjo ni hiari bila malipo lakini kwa maoni...

The post Waziri Gwajima: Viongozi Wasiochanja Waachie Ngazi appeared first on Global Publishers.

Shahidi asema alifurahi Sabaya kusimamishwa kazi, ageuka Mbogo kwa Wakili

Shahidi wa 10 katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake sita amesema alifurahi siku aliposikia kiongozi huyo amesimamishwa kazi. Shahidi huyo akijibu maswali ya Wakili Fridolin Bwemelo wa upande wa utetezi amesema alifurahi aliposikia taarifa hizo Mei 13, na kwamba alijua sasa Sabaya hataendelea kuwaonea watu wengine na …

The post Shahidi asema alifurahi Sabaya kusimamishwa kazi, ageuka Mbogo kwa Wakili appeared first on Bongo5.com.

Bi Leticia: Wanaume Wataalamu Wa Kunena Kwa Lugha

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa,mapema leo amehudhuria maadhimisho ya siku ya UKIMWI Dunia,yaliofanyika katika ukumbi wa Ruandazonvwe,Mkoani...

The post Bi Leticia: Wanaume Wataalamu Wa Kunena Kwa Lugha appeared first on Global Publishers.

Waziri mkuu wa zamani wa Lesotho ashtakiwa kwa kumuua mkewe

Kesi hiyo imewashangaza wengi na kusababisha misukosuko ya kisiasa katika ufalme huo mdogo usio na bahari ambao umezungukwa kabisa na Afrika Kusini.

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Desemba 1, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Desemba 1, 2021. Usipitwe na Matukio, Install App Yako ya Kijanja...

The post Yasome Hapa Magazeti ya Leo Desemba 1, 2021 appeared first on Global Publishers.

Ruby Avunja Ukimya, Penzi la Mose Iyobo, Kumuita Kusah Takataka, Bifu la Aunt Ezekiel..

Mwanadada afunguka mengi juu ya maisha yake kwa sasa na nani ni msaada zaidi katika maisha yake . 

The post Ruby Avunja Ukimya, Penzi la Mose Iyobo, Kumuita Kusah Takataka, Bifu la Aunt Ezekiel.. appeared first on Global Publishers.

Kanye West Afuta Post Zote Instagram

  Rapa anayetikisa na albamu yake ya DONDA, Kanye West amefuta post zake  zote katika ukurasa wake wa mtandao wa Instagram kufuatia kifo cha rafiki...

The post Kanye West Afuta Post Zote Instagram appeared first on Global Publishers.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...