
Mrembo maarufu, mahiri na mwenye vipaji lukuki, Agness Suleiman (Aggybaby), ameandika historia mpya baada ya kutangazwa kuwa miongoni mwa wateule wa Tuzo kubwa za Kimataifa za Africa Arts Entertainment Awards (EAEA) 2025 zinazofanyika nchini Tanzania.
Kupitia ukurasa wake rasmi, Aggybaby ameandika kwa furaha:
"Nawashukuru sana kwa support zenu nyie mashabiki zangu π Hatimaye nimeingia kwenye tuzo kubwa ya kimataifa katika vipengele vingi ikiwemo Music, Maigizo pamoja na mambo ya kijamii π"
Aggybaby ametajwa kwenye vipengele vitano vya heshima:
πActress of the Year
πBest Female Fashion Designer
πBest Inspirational Youth Icon/Motivator
πBest Upcoming Artist (Female)
πFounder of the Year (kupitia Tupaze Sauti Foundation)
Uteuzi huu si tu unaonesha ukubwa wa kipaji chake, bali pia mchango wake kwa jamii na vijana wa Kitanzania.
Mashabiki na Watanzania kwa ujumla wanahimizwa kuendelea kumuunga mkono msanii huyu wa kipekee ambaye ni fahari ya Tanzania πΉπΏ.
#Aggyfahariyatanzania πΉπΏ
#EAEATanzania2025
#TalantaZaKikwetu
#EAEACountryLevelAwards2025
π Mfuatilie @eaea_tanzania na @eaea_awards_inc kwa taarifa zaidi.