Klabu ya Simba iliwahi kuichapa magoli manne [4-1] klabu ya Yanga walipokutana mwezi March [March 31, 2002], kama ambao timu hizi zinaenda kukutana tena ndani ya mwezi March.
Hata hivyo Yanga imeshinda mara moja [1] [March 8, 2020] pekee katika michezo minne [4] ya hivi karibuni ambayo imekutana na Simba mwezi March huku Simba ikishinda mara mbili [2] na mara moja [1] sare.