Wednesday, October 9, 2024

Mwizi ghorofani Kariakoo ataka jirusha, aiba simu, tazama mwanzo mwisho (+video)

 Kutoka Kariakoo nakusogezea ripoti ya mwizi ambaye aliiba simu ghorofani baada ya kushtukiwa na Wahusika akazitupa akakimbiloa chooni ili atoroke kwa kushuka dirishani kutoka ghorofa ya tatu.

jitihada zake ziligonga mwamba baaada ya kunasa na hivyo kuhitaji msaada wa kumuokoa, habari yote bonyeza PLAY hapa chini kutazama

The post Mwizi ghorofani Kariakoo ataka jirusha, aiba simu, tazama mwanzo mwisho (+video) first appeared on Millard Ayo.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...