Milipuko ya Uganda :Mhubiri wa kiislamu anayehusishwa na jihadi auawa kwa kupigwa risasi
Maafisa walisema Sheikh Muhammad Abas Kirevu alikuwa amewaandikisha vijana kujiunga na seli za kigaidi zinazoendeshwa na Allied Democratic Forces (ADF) - waasi ambao wameahidi utiifu kwa kundi la Islamic State.