Ghasia za magereza mwishoni mwa mwezi Septemba na kusababisha vifo vya takriban watu 120 nchini Ecuador ni tukio la tatu la aina hiyo ambalo nchi hiyo ya Amerika Kusini imeshuhudia katika kipindi cha mwaka huu pekee. Lakini Ecuador kuna hali mbaya zaidi kwenye ukanda huo.